Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake majasiri sana, utakuta siku nyingine kanazuia mlangoni eti" hakuna kwenda kuangalia mpira leo!" Alaf kanatoka huku kanapiga mkwara, "ole wako nikuone unatoka, utanitambua leo!" Ukimuangalia sasa mtu mwenyewe "kimbaumbau!" Hongereni aisee!
Vimbaumbau njooni mnasemwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bana bana umeniharibia usingizi hahahahahahahaa eti kimbaumbau
Ina maana mabinti wote wa uzi huu ni vimbaumbau? Hakuna kibonge hata mmoja jamani? Tunajua ukimbaumbau ndo urembo na pengine afya nzuri lakini doh! Carba, Numbisa, Nsamaka, Jakitoo...wote vimbaumbau. Beef na Consuela hali ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…