carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kweli maisha ni kujipa moyo,endelea ila leo MNAFUNGWA periodKane aliumia msuli wa paja ila yupo Fenando Llorente hamna macheko kuna heung-min son hao inatosha kabisa hata goal la kwanza atafunga huyo dogo
Nilikuwa msindikizaji ila si shabiki wa man u.Unaikana man u leo?
Unataka nifwe njaa mjini hapa?Acha utapeli
Subiri uone mnavyokufa nilikuwa na wasupport tu ila damu damu spurs &[HASHTAG]#spurs[/HASHTAG]Hee maajabu anaikana man u
Sijawaambia bhanaSass mbona ushaanza kuwaambia watu?kwanini lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]
Upo lakini haupo mainstream kama huku kwetu; na tatizo linapotokea angalau wanajaribu kwanza kutafuta sababu za kisayansi.Kwani ulaya uchawi haupo mkuu
Utakuwa unadhani mimi ni mzee wa pwani eti eeh?Nasemajeeee, sijaachika mm
Mbona mguno tena[emoji23]Mmmmh
Mlango upo wazi kabisaaaaaNishapata pa kwenda ndio mana
Acha nikureport haraka maana umekwisha chukua vyangu vingi usije leta vitishoUnataka nifwe njaa mjini hapa?
Napambana sababu yako shemeji usijali[emoji23][emoji23]Endelea kunisaidia shemeji,peke yangu siwezi
Kuna smoothie inauzwa madukani. Miezi mitatu kilo 30-50 zinakuhusu. Sema nikuletee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie najitahidi kula ninenepe ipo siku tu ntajitoa chama la vimbaumbau
Uchawi ndio ulioleta maendeleo ya ulaya karne zilizopita..sio uchawi wa MTU na MTU ...Upo lakini haupo mainstream kama huku kwetu; na tatizo linapotokea angalau wanajaribu kwanza kutafuta sababu za kisayansi.
[HASHTAG]#spurs[/HASHTAG]Ushindi palepale....[emoji16][emoji16][emoji16]
Tena anaombea na ifungwe kabisaHee maajabu anaikana man u