Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mkuu BAK wewe ni Mkuu sanaoh! lala!
Ipo hapa nimesahau hadi niliweka wapi hata niingalie nitulie kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]nirudishie nikhabu yangu basi
Habari ninazo zote ila nina simile pia mahaba ninayo mengi kwa carbamazepineNaangalia huu mpambano kama hivi,kupendwa na mashemeji raha sana ila mume mwenyewe habari tu hanaView attachment 619296
Au hii basiDuuh unataka kuniua weye.
Nimekuja kisa wewe tu ila basi tu acha nijikaze hamna namna[emoji6] [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23]leo yamekukuta ujue hadi huruma,pole sana pimbi wanguIpo hapa nimesahau hadi niliweka wapi hata niingalie nitulie kwa kweli
Yaani wewe hata hufai subiri upambane na kaka zako tuHabari ninazo zote ila nina simile pia mahaba ninayo mengi kwa carbamazepine
Chukua hiyo pimbi upunguze machungu maana si kwa tambo zile za asubuhi[emoji23]View attachment 619387
Undugu kufaana sio KUFANANA BROKaribu mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lakini Cole yeye mbona hashiriki kwenye vita hivi? Kila siku tunampigania. Why?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] viua vitatu tena!!![emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257][emoji257][emoji257]