Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali hii huweza kuandamana na aina tofauti za maumivu ya kichwa, uchovu, kuchanganyikiwa na hisia za kukereka.

Hali hii huweza kuandamana pia na kupoteza fahamu kwa sekunde moja au mbili, kujisikia vibaya kwenye njia ya chakula, kupata kiungulia, kuvimbiwa na hali ya kucheua maji makali ya tumboni (reflux).

Mizio inayozaliwa kutokana na mwili kushindwa kuhimili Histamine ni tofauti na ile inayoletwa na vyakula. Wakati mizio inayosababishwa na vyakula ni ya papo kwa papo baada tu ya kula, ile inayosababishwa na histamine huja taratibu huku ikiongezeka kidogo kidogo.
 
Mfano wa hali hii ni kama maji yaliyoko kwenye kikombe. Kikombe kinapokuwa kimejaa kabisa, tone moja la ziada la maji linatosha kufanya maji yaliyoko kwenye kikombe yaanze kumwagika.

Hata hivyo, maji yanapokuwa hayajajaa kwenye kikombe, kutahitajika kiasi kingi cha maji (histamine) kabla tukio la kumwagika kwa maji yaliyoko kwenye kikombe halijachochewa kutokea. Hali hii inasababisha utambuzi wa kuwa mwili hauna uwezo wa kuhimili histamine kuwa mgumu.
 

Oni mai wei! [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Matabibu wengi wanaokumbatia mifumo tofauti ya tiba (integrative practiioners) wanaamini kuwa tatizo la mwili kushindwa kuhimili histamine, kimsingi linatokana na ongezeko kubwa lililopindukia mipaka la aina fulani za bakteria katika njia ya chakula.

Bakteria hawa hutengeneza histamine nyingi kutoka kwenye chakula ambacho hakikusagwa vema tumboni na kusababisha njia ya chakula kuwa na kiasi kikubwa cha kemikali hiyo.
 
Ongezeko hili kubwa la histamine huufanya uwezo wa mwili kuivunja na kuiondosha kuzidiwa. Hali hii huzidi kushusha uwezo wa mwili kuihimili histamine, hivyo kusababisha kujenga upinzani dhidi ya vyakula vyote vyenye histamine kwa wingi. Ulaji wa vyakula hivi moja kwa moja huzalisha dalili ambazo tunazioanisha na mizio.

Nini unachpaswa kufanya kama mwili wako hauwezi kuhimili histamine? Kwa kuwa vyakula vingi vina histamine na kwa baadhi ya watu bakteria walioko kwenye njia zao za chakula huzalisha kiasi kingi cha histamine kinachosababisha wawe na dalili za magonjwa zinazowakumba, tatizo hili kwa kweli linaweza kuwa ni changamoto kubwa katika kulipatia ufumbuzi.
 
Duu, Bongo bhana! Nani anatengeneza haya makitu? Na jina juu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunakaribia kuchoka bro. Haka kajaa kaYego haka kila siku kanawasha moto. Usiwe unapotea sana. Angalau zuka asububi kila siku uchimbe mkwara hevi ndo unaondoka. You gotta to protect what is yours....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…