Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1509207613715.jpg
 
Baada ya hapo mgonjwa anaweza kuanza kula kiasi kidogo cha vyakula hivi. Hata hivyo athari ya histamine inatofautiana kati ya mtu na mtu. Wakati baadhi ya watu miili yao haiwezi kuvumilia kiasi chochote cha histamine, baadhi huathirika tu pale wanapokula vyakula vyenye kiasi kikubwa cha histamine.
 
Tunakaribia kuchoka bro. Haka kajaa kaYego haka kila siku kanawasha moto. Usiwe unapotea sana. Angalau zuka asububi kila siku uchimbe mkwara hevi ndo unaondoka. You gotta to protect what is yours....

Yego anapigwa kutoka kila pembe, lakini bado anasavaivu tu! Chezea Yego wewe! [emoji23][emoji23][emoji15][emoji124][emoji124]
 
Kujenga mazoea ya kutumia tembe mbili hadi tano za vitunguu saumu kwa siku na kupunguza sana ulaji wa sukari na vyakula vya wanga iliyotokana na nafaka zilizokobolewa, ni mambo ambayo yatasaidia sana kupunguza wingi wa bakteria wabaya kwenye njia ya chakula.
 
Sawa kabisa.Talaka atapewa kwa sharti la kubaki kwenye ukoo.
Kuna muda shemeji unaingiaga kwenye vita ya kupigania haki tu (kama hii) bila kujali inakunufaisha nini [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kumbe wewe shemeji hujanijua vizuri. Sipigani vita kiholela mimi. Kila vita ninayoingia kuna kitu ninachofaidika nacho.

Mwanajeshi mmoja wa Ufaransa aliwahi kutoa maneno ya busara sana kwamba "Kamwe usipigane vita kama ushindi utakaopatikana hautakupa faida yo yote". Trust me. Najua ninachokifanya. Na Carba hataondoka kamwe katika ukoo !!!
 
Back
Top Bottom