Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kuipata ndoa tena ni muhali!!Enhe[emoji101] [emoji101] [emoji101]
Usipojiangalia unaweza kujikuta unamsaidia mtu anayekuzidi uwezo. Huko ni kutumiwa na utaishia kuchekwa !!!Tenda wema usingoje shukurani...msaidie anaeonewa kutetea haki...
[emoji101] [emoji101] natega sikio vizuriKumbe wewe shemeji hujanijua vizuri. Sipigani vita kiholela mimi. Kila vita ninayoingia kuna kitu ninachofaidika nacho.
Mwanajeshi mmoja wa Ufaransa aliwahi kutoa maneno ya busara sana kwamba "Kamwe usipigane vita kama ushindi utakaopatikana hautakupa faida yo yote". Trust me. Najua ninachokifanya. Na Carba hataondoka kamwe katika ukoo !!!
Eti, na uhenga wako huo ushawahi ona wapi kitimoto kinatolewa kama mahari? Hii ni dharau ya karne !!!Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kiti moto
We kama unataka kumuaribia mtu maisha fanya hivyo ninauhakika maisha yataaribiwaHapa nafainolaizi talaka tu[emoji124] [emoji124]
Guudi,veri guudi shemeji,lazima tumsaidie kijana wetu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kumbe wewe shemeji hujanijua vizuri. Sipigani vita kiholela mimi. Kila vita ninayoingia kuna kitu ninachofaidika nacho.
Mwanajeshi mmoja wa Ufaransa aliwahi kutoa maneno ya busara sana kwamba "Kamwe usipigane vita kama ushindi utakaopatikana hautakupa faida yo yote". Trust me. Najua ninachokifanya. Na Carba hataondoka kamwe katika ukoo !!!
Hawa ndo huwa wanatokea kwenye front page ya magazeti ya Shigongo hawa. Njemba yafia Guest, demu asepa kiaina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwann broLiuwoya limedoooodaaaa...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Na wewe shemeji wewe. Kwa nini unapenda kujiweka kwenye mazingira yanayokufanya tukupambanie? Huwezi kuwa ngangari kama Numbisa tu ikaeleweka? Tunachoka ujue. Tuhurumie pulizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi kanichosha kwakweli,yeye sijui hata yuko wapi yaani mimi kila siku napambaniwa na mashemeji mwenyewe yuko hukoooo anakula bataz tu
Yego hata mimi simtaki sasahivi bora nibaki kwenye ukoo tu hata kama peke yangu[emoji47][emoji47][emoji47]