Yaani sasa hivi ndo naanza kuelewa[emoji23][emoji23]Nilipokuambia unapumulia mashine hukunielewa eeehh!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mh, umeshindwa kbs kupita kimyaSweetheart kaitwa mkuu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:mzee wa liver
Ndio maana siku ile nilikuambia tumuhost ili tujue nyendo zake ila hukunielewaYaani sasa hivi ndo naanza kuelewa[emoji23][emoji23]
Unanianza eeh?leo sitaki ukorofi ujue[emoji23]Mh, umeshindwa kbs kupita kimya
Subiri nimtafute tutamuhost humu ndaniNdio maana siku ile nilikuambia tumuhost ili tukue nyendo zake ila hukunielewa
Sijambo kbs.Unanianza eeh?leo sitaki ukorofi ujue[emoji23]
Hujambo
Hata sijamuona humu leo,halafu mbona usimsalimie mwenyewe untume?Sijambo kbs.
Msalimie yegomasika.
Nasikia ww ndio unae, alikuteka kwa zawadi ya maua.Hata sijamuona humu leo,halafu mbona usimsalimie mwenyewe untume?
Mpe watoto, maana anawapendaAisee! Unapenda watoto sana. Upo tayari kupata mtoto. Mungu Akubariki [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mnazungumzia host & parasite[emoji6] [emoji6] [emoji6]Subiri nimtafute tutamuhost humu ndani
Amani ya Kenya ina maana kubwa kwa mataifa jirani
Kweli mkuu darasa toshaUzi huu una mshikamano ingawa memba wake wana itikadi tofauti. Wakenya wajifunze hapa
"Wajengezi" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana eti
Mliocomment humu wote mafala,nipewe like yangu tafadhar[emoji3][emoji3]
I'm so happy todayUmarioo au sio[emoji23][emoji23]