Nakubaliana na wewe 100%Darasa la siku moja hapa ni miezi huko kwingine..
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mambo murua na habari kemkem
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hisia juu ya kile unachokuwa na shauku kukijua
Safi tu dogo ajeUmeamkaje weye mwanamke.
Kama kawaida, Afrika ni kichwa cha mwendawazimu. Hata kwa hii demokrasia naamini tunachezewa tu. Hatukuwa tayari na hatujui hata maana yake ni nini. Tulikubali kwa sababu wakubwa walisema tungekataa tungekosa misaada yao. Muda si muda sharti la kurasmisha ushoga laja. Sijui napo tutakubali au itakuwaje. Umasikini mbaya !!!KENYA YAGEUZWA DARASA LA MICHEZO YA DEMOKRASIA YA AFRIKA
Umarioo au sio[emoji23][emoji23]Wa mama wanatunza vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua huyo dogo simuelewi siku hizi!!!!!Safi tu dogo aje