Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mmh jaman wakat na sie jana tulikua na wababe wa liverLiverpool 2 wababe wa man u 0
Mmh jaman wakat na sie jana tulikua na wababe wa liverLiverpool 2 wababe wa man u 0
ahahahahaajamaa Yanga anamwambia mwenzake wanaume ni sisii...kwasababu mwanaume anakojoaga wa mwishoo[emoji23][emoji23][emoji23]
4-1 bana una mbwembweLiverpool 3 wanaume wa man u 0
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Man u 1 vs wababe wa liver 4-1 hahaha
Mbona unasaga meno?Pamechangamka[emoji16][emoji16][emoji16]
ahahahahahaKuna muda najiulizaga "hii vita tunapigana kwa manufaa ya nani?"
Ila nimejitolea kupigana bila kujua faida gani nitapata,andaeitini hawezi kumpata carba kwa thamani ya kaua kamoja tu.Kwetu ni matusi kumthaminisha binti mrembo na vitawi vya majani majani.
Acha tu..Mbona unasaga meno?
Na neema teleJumapili ya baraka
YapWeekend inaendelea
HahahahahaYuko sahihi mkuu.
Maana kuamka na kukimbilia simu ukiwa bado hujatoa tongo tongo lazima haya yakutokeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Usimchezee chatu ohoo chatu wala usimkaribie utaukosa ushindi[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji445]OSS wana NDEKULE. 1985-86-. Chatu mkali, Ford nk. Bitchuka, Gurumo, Tshibanda Soni, Skassy Kasambulla nk. Abel, Mulenga nk
Mambo murua na habari kemkemUzi wenye kuhabarisha