Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Whaaaaaaaaaaaaat? Yeuwiiiiiii Wallahi Masaki is my home, money loves me.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. The Goddess is back [emoji122][emoji122][emoji122]

Yaani tumeita AMUN RA humu mpaka tumechoka. Tukamtishia Mzee wa Liver kumpeleka mahakamani atuambie alikokupeleka naye zikawa gheresha tupu.

Karibu tena sis. Karibu katika uzi wako. Karibu kwa wapendwa wako. Karibu katika kiti chako cha enzi. Tupo kama ulivyotuacha. Tunapendana. Tunaheshimiana. Tunataniana. Tunacheka na kufurahi. Tumshukuru Mungu kwa yote [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom