Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Itakua maana sijui jina lake halisiHivi dogo janja ni Muslim
Vipi Mji mkuu unaendeleaje?AMUN RA
Miss u mpka naumwa
Na sisi piaNimewa miss sana my dears
Whaaaaaaaaaaaaat? Yeuwiiiiiii Wallahi Masaki is my home, money loves me.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. The Goddess is back [emoji122][emoji122][emoji122]Nimewa miss sana my dears
Na wewe unataka kuwa mjengezi?*Wajengezi" daaa, wewe ni dadangu kabisa. Hiyo ni wilaya za Rufiji, Kisarawe, Bagamoyo, Mkuranga na Morogoro vijijini zinahusika
Kabisa mkuuUchaguzi wa Kenya ni pasua kichwa
Yaani sijui wafanyajeGharama ya siasa za hila zitapata malipo Kenya siku chache zijazo