Usikubali maombi ya urafiki kutoka kwa watu usiowajua. Walaghai wanaweza kuunda akaunti ghushi ili kutuma maombi ya urafiki kwa watu. Kuwa rafiki na walaghai kunaweza kuwaruhusu kufanya Kalenda yako ya matukio ya barua taka, kukutambulisha kwenye machapisho na kukutumia ujumbe hasidi.
Jihadhari kwa programu hasidi. Jifunze ishara za kompyuta au kifaa kilichoathirika na jinsi ya kuondoa programu hasidi. Sasisha kivinjari chako na uondoe programu-tumizi inayoshukiwa au programu-jalizi za kivinjari.
The elephant grinds its molars and grows new ones. This happens six times in a lifetime! An elephant's molar is about 7 inches square and can weigh over 6 pounds.
Usibofye kamwe viungo vinavyoshukiwa, hata iwapo vitaonekana kutoka kwa rafiki au kampuni unayofahamu. Hii inajumuisha viungo kwenye Facebook (mfano: kwenye machapisho) au kwenye barua pepe. Kumbuka kuwa Facebook haitakuomba kamwe nenosiri lako kwenye barua pepe. Iwapo utaona kiungo kinachoshukiwa kwenye Facebook, kiripoti.
The most valuable tooth belonged to Sir Isaac Newton. In 1816 one of his teeth was sold in London for $3,633, or in today's terms $35,700. The tooth was set in a ring! (source: Guinness World Records 2002).
Tumia vipengele vyetu vya ziada vya usalama. Kwa mfano, unaweza kupata arifa kuhusu kuingia kusikotambulika na chagua marafiki watakaokuwa waasliani wako wa kuaminika. Iwapo umeingia kwenye Facebook katika kompyuta, unaweza kutumia Ukaguzi za Usalamaili kukagua mipangilio yako ya usalama.