Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio tu mtazamo wako mzuri ulionao bali hata mtazamo juu ya watu wanaokuzunguka na jinsi unavyowafanya wajisikie vizuri. Lakini kama maneno yako ni Negative na unawadharau watu, mtazamo wako hautakuwa mzuri , hata hivyo utakuwa unavutia vitu vibaya. Kumbuka kuwa nguvu uliyonayo inavuta nguvu hio hio.
 
Jaribu kuangalia kila kitu kwa njia nzuri, Ingawa wakati mwingine sio rahisi . wakati mwingine mazingira yake yanakuwa magumu , lakini tafuta kitu kidogo ambacho utashikilia na jaribu kutunza mtazamo wako uwe mzuri.
 
Fikiria vitu unavyosema, Ni negative? kama ndio hivyo jaribu kutambua na ufanyie kazi ya kurekebisha. Huwezi kusema mambo mabaya halafu uwe na mtazamo mzuri. Ondoa maneno kama, siwezi, chuki, labda, ipo siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…