Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20.Uwe na jukumu ambalo unajihusisha nalo.

Usikae tu kuchart au kuwepo kwenye facebook muda mwingi , insta au TV . bila ya kufanya kitu cha kukupatia pesa ya kuchangia kwenye matatizo mbalimbali yanapotokea.
 
22.Weka nguvu yako katika urafiki uliodumu zaidi ya miaka 15.

Inatosha kusema kuwa wamekuwa marafiki wa moja kwa moja. Unahitaji kuwapigia, kuwatext. Unahitaji kutoka nao na kupata chakula pamoja na kufanya uchunguzi wako unapokuwa nao. Furahia nyakati hizi, kwa sababu ni nyakati kubwa ambazo hutaweza kuzipata. fanya kwa utaratibu
 
Nafikiri alikuwa anamaanisha baada ya kuwa na mtu usiomuoneshe uko too deep kwake
Yaani watu wanapenda kuchukulia powa
Ndio maana binafsi yangu naona ni rahisi kwa mambo mengine kuliko mahusiano

COLEWORLDLOVESYOU
 
26.Mpende mtu kwa kiasi unachoweza , na kwa chote usichoweza.

Wapende kwa uwezo ambao upo ndani yako ambao utawaweka pamoja, wakumbatie, wabusu, washike kwa mikono yako kila inapowezekana.
 
27.Andika Viapo vyako mwenyewe, sio tu kwenye harusi, lakini ni kwa maisha yako yote.

Kiapo cha kujipenda mwenyewe, kiapo cha kujiona fahari mwenyewe, kiapo cha kuendelea kujaribu hata nyakati ngumu.
 
28.Amini moyo wako–mbele ya watu, mbele ya marafiki,kwenye mahusiano, ukiwa mahali ambapo sio sahihi kwa wakati ambao sio sahihi.

Kama hujisikii vizuri sio pazuri, kwa hio toka.

29.Usikubali kupotea kwa mtu unaempenda kuharibu kila nyakati nzuri ya maisha yako.

Bado unatakiwa uwe na furaha. hakuna vitu vinavyokuwa sawa kila mara. lakini ni sawa kusonga mbele na kutengeneza kitu kipya. Kumbuka kuwa kila mtu anafanya makosa. Na katika makosa hayo utapata mafunzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…