Maestro 87
Member
- Dec 12, 2016
- 51
- 35
Like za bure[emoji12] [emoji12]
Utakuja kusema hapa mwenyewe na kunipa pongezi labda uwe na roho ngumuSijakimbia wait weekend utakula bao zako za kutosha
Novemba 7 hiyooo. Andaa likes zangu 100 za chapu chapu bila kukosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwendaaa. Wanaohama timu wana kelele jaman
Kwendaaa. Wanaohama timu wana kelele jaman
Wengine tulishatishiwa maisha kutumiwa mamba kwenye maji ya kunywa. Tusije tukapata naitimea bure jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume apigwa na butwaa baada ya kumkuta mamba nje ya nyumba yake
Muungwana Blog 2
Mwanamume mmoja katika kijiji kilicho jimbo la mashariki mwa India la Orissa, alipigwa na mshangao baada ya kumpata mgeni ambaye hakumtarajia nje ya nyumba yake - mamba wa urefui wa mita 3
Dasharath Madkami alimpata mamba huyo baada ya kuamshwa na sauti zisizo za kawaida usiku.
Cc:Yegomasika
Cc:mzee wa liver
Novemba 7 hiyooo. Andaa likes zangu 100 za chapu chapu bila kukosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Novemba 7 hiyooo. Andaa likes zangu 100 za chapu chapu bila kukosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kipind nilidhan nna roho ngumu wee ndugu yangu mwaka jana akawa critical icu. Kwenda hosp kumuona tu nkaanza kulia. Nkaambiwa vibaya kumlilia mtu alie ahai kujikaza ngumu.Utakuja kusema hapa mwenyewe na kunipa pongezi labda uwe na roho ngumu