Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Nafuuu yego kafanya jambo la maana sana[emoji119] [emoji119] [emoji119] ..... Uwe na siku njema Darling,Mungu akutangulie katika kila jambo [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante sana. Siku yangu ipo maridadi ajabu. Yego Mwanawasu waongela mmawaksi wachasugu kanifanya nianze gym na ndo nimetoka huko. Tayari kwenda kuisaka mibaraka yangu iliyoandaliwa kwa siku ya leo. Mungu ni mwema. Malizia masaa yako machache ya kazi yaliyobakia kwa amani bebi. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]