Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hadi ka wivu kamenianza[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nakwambia ni shida. Kupenda unapopendwa raaaaaaaaahaaaaaaaaa !!!
Hahaha carba banaSiku hizi waitwa dad?aiseeh!kweli maisha yanaenda kasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] toka hani sijui bebi hadi kuitwa dadi?
Jiandae kuitwa mjomba[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Halafu ni dad au "dad"??
wana upendo..Ndio hivyo bhana japo majirani wana.....
Wana wivu[emoji23] [emoji23]wana upendo..
Kawivu ka nini tena shemeji? Unajua jirani yako yupo macho kodo. Shauri yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi ka wivu kamenianza[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amina[emoji120] [emoji120]Kila "tunayegongana" naye huko maishani is either a blessing or a lesson. Shida ni pale tunapochelewa kumng'amua mtu kama ni mibaraka kwetu au ameletwa ili kutufundisha kitu. Tunaishia kuumizwa. Na kibaya zaidi ni pale tunapong'ang'ana na kujiombea mibaraka wakati kwa wengine huko tu "mafunzo".
Hebu na tukawe mibaraka kwa wale wote ambao Mungu Amewaleta katika maisha yetu....
[emoji117][emoji117][emoji117] Nakusalimia baby. Siku yako inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mh!Wana wivu[emoji23] [emoji23]
Itabidi nihame mtaa au niage huu ukoo maaana......Kawivu ka nini tena shemeji? Unajua jirani yako yupo macho kodo. Shauri yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Asante sana. Siku yangu ipo maridadi ajabu. Yego Mwanawasu waongela mmawaksi wachasugu kanifanya nianze gym na ndo nimetoka huko. Tayari kwenda kuisaka mibaraka yangu iliyoandaliwa kwa siku ya leo. Mungu ni mwema. Malizia masaa yako machache ya kazi yaliyobakia kwa amani bebi. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Amina[emoji120] [emoji120]
Nimeitikia Dadiii namshukuru Mungu siku yangu iko salama kabisa, za kwako dad[emoji4]