myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
13:48
ndio nguzo yetuUmoja wenu
yamefufuka yenyewe aiseeMakaburi ya mida ya wanga haya mnayafukua ya nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema shemeji kipenzi,sijui huko.Kwema shemeji kipenzi? Mapenzi yakikolea majina yote rukhsa. Na "dad" linasadifu kabisa:
![]()
Amin[emoji120]
Kila "tunayegongana" naye huko maishani is either a blessing or a lesson. Shida ni pale tunapochelewa kumng'amua mtu kama ni mibaraka kwetu au ameletwa ili kutufundisha kitu. Tunaishia kuumizwa. Na kibaya zaidi ni pale tunapong'ang'ana na kujiombea mibaraka wakati kwa wengine huko tu "mafunzo".
mtu na shemejie....Huku kwema shemeji kipenzi,sijui huko.
Kweli huba limekolea
Jirani, mbona wasiwasi sana? Kulikoni? Haloooo [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]mtu na shemejie....
Nakwambia ni shida. Kupenda unapopendwa raaaaaaaaahaaaaaaaaa !!!Huku kwema shemeji kipenzi,sijui huko.
Kweli huba limekolea
Mwanamke mapambo !!!
Hili haliwezekani !!!ya
yamefufuka yenyewe aisee
Ndio hivyo bhana japo majirani wana.....mtu na shemejie....