Siku hizi waitwa dad?aiseeh!kweli maisha yanaenda kasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] toka hani sijui bebi hadi kuitwa dadi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We Numbisa wewe huwezekaniki haki ya nani. Hutabiriki !!!
Subra ni jambo kubwa"Hakika Mungu yu pamoja na wenye kusubiri"
[emoji122][emoji122] [emoji122] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
13:0619:40
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwema Kipenzi shemeji,sijui huko
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kkHuku salama. Pole kwa uchovu (nimesikia kutoka kwa "pimbi" wako!)
Mmejificha wapi?
Mbona hamuonekani?
Au mlishatwaliwa?
Mmejificha wapi?
Mbona hamuonekani?
Au mlishatwaliwa?