Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_15096212256598867.jpg
 
Mwanaume apigwa na butwaa baada ya kumkuta mamba nje ya nyumba yake

Muungwana Blog 2

Mwanamume mmoja katika kijiji kilicho jimbo la mashariki mwa India la Orissa, alipigwa na mshangao baada ya kumpata mgeni ambaye hakumtarajia nje ya nyumba yake - mamba wa urefui wa mita 3

Dasharath Madkami alimpata mamba huyo baada ya kuamshwa na sauti zisizo za kawaida usiku.
Cc:Yegomasika
Cc:mzee wa liver
 
Dunia simama nishukeeee!!
Hata kama napenda pesa kiasi gani huu ni ujinga kiwango cha mwisho
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Hii Kali! Boss amwambia Mfanyakazi Wake atembea Uchi Ofisini

Yaani unaambiwa dunia ina mambo kweli kweli kwani tumesikia mengi na tutaendelea kushuhudia mengi zaidi. Boss mmoja mjini Warsaw, nchini Poland ameamuru mfanyakazi wake mmoja wa kike kutembea uchi ndani ya Ofisi kubwa ya mauzo ya jumla ili kuongeza molali na ufanisi kazini kwa wanaume ambao alidai kuwa wamekosa ari kwenye utendaji.

Mwanamke huyo ambaye naye hakuwa na namna alivua nguo zake zote huku akiziba kifua kwa sidiria na kutumia mawani ya jua na kuanza kutembea ofisini mbele ya Wanaume waliokuwa wamesimama msururu kwa amri kutoka kwa Boss.

Taarifa kutoka kwa vyombo vya habari nchini Poland, vimeeleza kuwa mwanamke huyo alilipwa pesa mara tatu ya mshahara wake ili kufanya tukio hilo kwa lengo la kuwachangamsha wanaume ili kurudisha ari ya utendaji kazi.
 
Wafanyakazi wamefaidi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Back
Top Bottom