Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema. Baby wangu J. hajambo kabisa. Wikendi hii ni bata bataz you know. Cole wangu hajambo pia? Naona unamficha sana siku hizi. Uwe unamwamchia angalau mara moja moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata pumzi tu ni jambo la kumshukuru Mungu mengine ni madogo.
Nimefikia uwamuzi wa kuhama mtaa na nyumba nauza[emoji23] [emoji23]
Huku kwema sijui huko uliko,jakitoo mzima?