Arsenal inalenga kumsajili nyota wa Napoli Jorginho.
Machezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 hatahivyo hajulikni iwapo anaweza kuondoka katika klabu hiyo ya Serie A mnamo mwezi Januari. (Transfer Market Web, via Daily Star)
. Wanaume kuwa wagumba yaani wasioweza kupata watoto. Kwa kawaida, wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra
karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ngono, misuli maalum hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume. Hata hivyo, upasuajiwa BPH huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.Kufika kilele UTAFITI UNASEMA NINI KUHUSU KUKUA KWA TEZI NA MATIBABU YAKE.
Kiungo wa kati wa Schalke's 22 Leon Goretzka ameamua kukamilisha kandarasi yake na kujiunga na Barcelona mwishoni mwa msimu huu.(Mundo Deportivo - in Spanish)
Mtaalamu wa data katika klabu ya Fulham Craig Kline aliwaita maafisa wa polisi katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo baada ya kufutwa kazi. (London Evening Standard)
-Hivi ni virutunisho vinavyotokana na nyanya. Lycopene ina uwezo wa kupenya kwenye tezi dume na kuondoa tatizo lolote na kuzuia kabisa kukua kwa tezi dume. Pia ina uwezo mkubwa wa kuzuia kansa ya tezi dume. Hivyo tunashauri kila mtu mwenye umri wa miaka 30 atumie virutubisho hivi ili kujilinda na tezi kukua. Utumiapo lycopene iliyotengenezwa kwa kiwango kingi(concentrated) kuna uwezekano mkubwa wa kutopata kabisa tezi hii dume hata kama kwenye ukoo wenu wote walipata tezi hii. Kama utahitaji hii bidhaa bora kabisa imetengezwa katika mfumo wa vidonge ni asili haina madhara kwani haina chemical imetokana na NYANYA. Tumia lycopine at least kopo mbili kwa mwaka lenye virutubisho 60 kwa mwezi mmoja ili kujiepusha kabisa na tezi tume na kansa ya tezi dume.
~Zinc ni kiondoa sumu kikubwa sana yani POWERFUL ANT OXIDANT hivyo utafiti unaonesha utumiapo virutubisho hivi wewe kansa utasikia kwa wenzio na kuvimba kwa tezi hutasikia.
Mkurugenzi wa klabu ya RB Leipzig Ralf Rangnick anasema kuwa kiungo wa kati wa Liverpool Naby keita , 22, ni miongoni mwa wachezaji bora ambao amewahi kufanya kazi naye . (Independent)
Mshambuliaji wa klabu ya Red Star Belgrade Richmond Boakye ana hamu ya kujiunga na klabu ya Chelsea katika dirisha la uhamisho mwezi Januari. (London Evening Standard)
Huku kwema. Baby wangu J. hajambo kabisa. Wikendi hii ni bata bataz you know. Cole wangu hajambo pia? Naona unamficha sana siku hizi. Uwe unamwamchia angalau mara moja moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipa wa Chelsea Thibaut Courtois anasema kuwa kiungo wa kati Nemanja Matic, 29, alikuwa na hamu ya kujiunga na Manchester United msimu uliopita hatua ambayo ingekuwa vigumu kwa Chelsea kumzuia. (Independent)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.