Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndio maana hadi Leo hii Uganda hakuna Dada gaidi zaidi ya iddi aminH.E president for life, Al-haji, Dr, Field Marshal Iddi Amini Nduli Dada
Hahaha ndo ivo buzitata halichuniki hata kwa limbwata la kitangaUnaambiwa jamaa hachuniki hata kwa limbwata la Kitanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo madhara ya kuimba zile nyimbo za kusema kwamba iddi amin akifa sijui utamfanyaje na wakati hata humjui huyo iddi amin ni nanNdio maana hadi Leo hii Uganda hakuna Dada gaidi zaidi ya iddi amin
COLEWORLDLOVESYOU
Ndio maana hadi Leo hii Uganda hakuna Dada gaidi zaidi ya iddi amin
COLEWORLDLOVESYOU
Hiyo ni sanaa ya kucheza na maneno (word playing) nothing serious mkuu buzitataNdo madhara ya kuimba zile nyimbo za kusema kwamba iddi amin akifa sijui utamfanyaje na wakati hata humjui huyo iddi amin ni nan
Kwa upande wangu bado sijaona kosa alilolifanya hadi nianze kumchukia