Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utapotuma pesa itahama hapohapo lakini itachukua siku mbili hadi tatu pesa ile kuhamia na kupatikana katika akaunti ya yule uliyemtumia, inategemea na uharaka wa miamala ya benki utakayotumia. Iwapo una wasiwasi kwamba mtu mwingine anaweza chukua simu yako bila ruhusa na kujihamishia pesa, unaweza kuweka namba ya siri(PIN number) ambayo utatakiwa kuingiza kila mara unapotuma pesa
 
Screenshot_2017-11-03-18-22-44.png
 
Huduma hii inasupport matumizi ya fingerprint scanner katika devices za Apple kama iPhone 6 Plus. Huduma hii itakuja katika miezi michache usoni, ila itaanzia Marekani na kuendelea kusambaa sehemu zingine duniani kadiri siku zinavyokwenda.
 
Some people live for the fortune
Some people live just for the fame
Some people live for the power, yeah
Some people live just to play the game[emoji445] [emoji445]
Whichi wani a yu? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Back
Top Bottom