mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Video ya yule mnyakyusa anayeimba nyimbo za injili huku anajibamiza kwa matofali iko wapi?[emoji41] [emoji41]
Haya mambo magumu sana laiti kama Mungu angekuwa anaonyesha moja kwa moja maumivu yasingekuwepo[emoji124] [emoji124] [emoji124]This is deep. Changamoto ni subira na mihemko....
Hapana. Huu ni ukweli wa kisayansi. Unene umeshatangazwa na Shirika la Afya Ulimwenguni kuwa ni janga la kiafya duniani kote na ni hatari kuliko hata sigara. Vitambi na magonjwa ya moyo, presha, kisukari na baadhi ya kansa ni marafiki wakubwa - hasa kwa wanaume !!!Twaweza ama?![]()