KK si ajabu akakwambia hili ni kufuli la Mchina. Wana utani na Mchina wa levo nyingine kabisa, sawa na wako ulivyo kwa KK. Mpaka mtu anaweza kudhani (na pengine kwa usahihi) nyie ni kapo kabisa in real life [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Cc:Kichwa Kichafu we pimbi njooo huku[emoji23] [emoji125] [emoji125]
Senses zinaingiliana. Ili kuupunguzia ubongo distractions inabidi upunguze makelele. Don't overload your brain....
Man City anapigwa. Time for Wenga to shine [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23].