Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-03-22-10-17.png
 
Mkoa unaoongoza kwa Wanawake kuwapiga Wanaume Tanzania watajwa

By

Millard Ayo




Leo Jeshi la Polisi Tanzania limezungumza na Waandishi wa habari kuhusu mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania kufanya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake ambapo ndani yake likazungumzia sehemu ya Tanzania inayoongoza kwa Wanawake kupiga Wanaume.

Mpaka mwaka 2016, rekodi inaonyesha kwamba Mkoa ulioongoza kwa Wanawake wake kupiga Waume zao ni Iringa ambapo Msemaji wa Polisi Barnabas Mwakalukwa amesema “Iringa iliongoza kwa kuripotiwa Wanaume kupigwa na Wanawake”

Unaambiwa sababu kubwa za Wanawake kupiga Wanaume kwenye Mkoa huo ambao sifa yake nyingine ni usafi wa mji kwa asilimia zote, ni ulevi na wivu wa kimapenzi”
Nilitegemea Dar ichukue usukani. Kumbe ni Iringa. Mara imeshika namba ngapi?
 
Njia rahisi unazoweza tumia kuzuia kupotea kwa namba zako za mawasiliano (Contacts)
Huwa inatokea, labda umeibiwa au kupoteza simu yako au unataka kubadili simu au labda umeifanyia simu yako system restore iwe ni kwa kukusudia, bahati mbaya au hata kwa kutaka kutibu (resolve) tatizo fulani mpaka ikapelekea kufanya hivyo. Unaweza poteza data nyingi, lakini kikubwa na cha muhimu zaidi ambacho hupotea huwa ni namba za mawasiliano (Contacts).
 
Hali hii inapotokea huleta huzuni na pia hasira kwa baadhi ya watu na hii yote ni kwa sababu ya hasara iliyotokea. Lakini unaweza hifadhi contacts zako na endapo utazipoteza au chochote kutokea basi utaweza kuzipata kirahisi tena. Nitataja njia chache muhimu unazoweza kuzitumia kama ifuatavyo.
 
ANGALIZO: Hii ni kwa Android Smartphones tu.
1. Tengeneza vCard file (.vcf file)
vCard file ni file ambalo huhifadhi contacts likiwa linajumuisha taarifa kama
Phone numbers, E-mail addresses, Contact pictures, Street addresses, Family information, Website addresses, Notes n kadhalika.
 
Hatua za kutengeneza file hili ni hizi:
i. Bofya Menu ya simu yako
ii. Kisha bofya icon ya Contacts/ People
iii. Options/Manage Contacts
iv. Import/ Export contacts
v. Chagua Export to Phone Storage/sdcard
vi. Chagua Google/ email yako
vii. Create/ Export contacts.vcf.Hatua zinaweza tofautiana kulingana na simu yako.
 
Katika phone storage/ microsdcard yako utakuta kuna file limeongezeka lenye muendelezo (extension) wa .vcf. Unaweza hifadhi file hili mahali popote unapohitaji.
Kurudisha contacts zako unatakiwa kuweka vCard file kwenye simu yako, kisha install
 
Back
Top Bottom