Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu jamaa namuelewa sana.....ili kumuelewa ni rahisi sana kwanza futa fikra potofu juu yake halafu anza kufatilia zile documentary zake origino sio zile za maigizo ya kumchafua
Tulikaririshwa mabaya yake kwenye zama za Giza, zama ambazo hazikuwa na gazeti huru, redio huru, wala TV. Habari ikiletwa mnalazimishwa kuiamini. Marufuku kuihoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…