Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza kuwa na akili ya kutaka kubadilika . Ulimwengu unaweza kuwa umekuambia kwa njia moja au nyingine. Kupitia mahusiano yako, Matukio ya maisha, jinsi watu wanavyokujibu au kuwajibika kwako, jinsi wewe unavyowafanyia na matatizo yanayotokana na hayo. vyote hivyo vimekuongoza mahali ulipo sasa.
 
Kama umetumia maisha yako kujaribu kukataa historia yako, hutafikia umuhimu wako. kwa nini nasema hivyo. umuhimu wako unaonekana unapokuwa unatoa, na kwa kutoa, kwa kuwashirikisha watu ulichonacho. ili wafike mahali ulipo . utaonyesha ukweli wako.
 
Historia zetu hazifunguki kwa sababu ya maamuzi tunayofanya na matukio ambayo yanatokea katika maisha yetu. Tunatakiwa kuamini mpangilio, kukubali tuliyopitia ili kujua sisi ni kina nani na tupo wapi sasa. hata kama hujatosheka mahali ulipo na jinsi ulivyo sasa. lakini furahia mabadiliko uliyonayo sasa. kukubali itakufanya upige hatua . kama sio, hatua yako itateleza , hutaweza kusonga mbele kwa urahisi.
 
Kwa hio , ina maana gani kukubali? ni tofauti kwa kila mtu. kwangu mimi , kuna sehemu mbili. kwanza ni kuwa na amani na yaliopita. na hio sio uchaguzi tu ni practice. ni zoezi la kila siku. yaani nakupa wazi kabisa. tengeneza yaliopita kwa amani. kama ulikosea, omba msamaha. sema unachohitaji kusema . elezea, samehe, kwa gharama yoyote. huhitaji kuwa best friend, lakini fanya yaliopita kuwa rafiki. lakini usitake yaliopita yafe.
 
Kesho ni chelsea vs man u

Man city vs arsenal
Chelsea 2 - 4 Man U

Man city 6 - 1 Arsenal

Why always me?

83c3b0a4f027ce7f1750485bc38c15ed.jpg
 
Back
Top Bottom