Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huzuni inaweza kumpata mtu yeyote. haijalishi ni msichana au ni mvulana. Ni Mkristo au ni Muisilamu. ni Mtanzania au ni Mkenya, Umeokoka au hujaokoka. Una kila kitu au huna kitu. Popote ulipo. huzuni ipo kila mahali. Inasemakana kuwa ni hisia ambayo ipo lakini unaweza kuiepuka wakati wa maisha yako . ingawa inaweza kurudi kutokana na matukio yaliopo.
 
Popote ulipo, popote ulipo hauko peke yako.

Kwangu mimi naona ni msichana aliyezungukwa na watu wanaompenda, ingawa hawezi kujisikia hali hio muda wote. Napiga picha ya msichana mwenye uwezo wa juu , yuko daraja la juu. Msichana ambaye anatumia muda wake kufanya kazi hata siku za weekend,anashughulikia mazingira mabaya, anayekabiliana na malalamiko ya wateja.
 
Msichana anayependa kutazama wenzake wanapoongea umbea, hata kama hapendi umbea. msichana mwenye mahusuiano mazuri na mama yake na kuongea kuhusu falsafa na baba yake. msichana anayeongea na marafiki zake vizuri. msichana anayetamani kupata maana ya maisha wakati wengine wamelala. msichana mwenye marafiki wengi wengi, mwenye kucheka kila wakati, anaonekana mwenye furaha sana.
 
Mwisho wa siku utajikuta uko mwenyewe. Mpenzi wako na rafiki zako wanaweza kuwepo pale unapowahitaji, lakini hawatakuwa na uwezo wa kuelewa kila kitu kinachoendelea maishani mwako, Hawataelewa mawazo uliyonayo
 
Mwisho wa siku utajiamini mwenyewe kwa sababu watu wanabadilika, vipaumbele vyao vinabadilika, hisia zao zinabadilika, na mapenzi yao yanabadilika. Wewe ni mtu pekee ambaye utasimama kidete katika sehemu ambayo imekukwamisha. Wewe ni mtu pekee ambaye utavunja kila kitu ambacho kinakurudisha nyuma.
 
ea8816408e4fab1854ca7dcae7f40f67.jpg
55bacc63eda9e9335c4b37dfb2d22623.jpg
 
Kwa hio waache waseme vyovyote wanavyotaka kusema ,kwa sababu hutawasikiliza . utapata amani mbali kutoka kwa wale wanaopenda kukusumbua. Utakuwa mbali na wale ambao wanataka kujaribu kukuambia unatakiwa kuwa mtu wa aina gani , unatakiwa kuishi namna gani.
 
Back
Top Bottom