Hakuna Maumivu, Hakuna Furaha
Utaifahamu Furaha Utakapojua kuwa kuna maumivu. Unapoona furaha ni nzuri, Ni nafasi ndogo tu iliopo. Bila ya kulinganisha Furaha , Huna sababu ya kuisema kuwa una furaha wakati mwingine unaweza kusema na ikapotea. Kama hujui maumivu na huzuni , huna sababu ya kushukuru kwa ajili ya furaha.