carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nduguyo simwelewi mimi,mnipe talaka yangu tu la sivyo cha moto mtakionaSikuelewi ujue.Bwana mdogo alisema anaingiliwa na ndugu kwenye mambo madogo madogo ya kifamilia,tumejitoa.
Leo hii ndoa imekushinda? Kivipi?
Hahahaha,...[emoji3] [emoji3] [emoji3] nyie nyie. Mungu anawaonaNimeitika shemeji kipenzi wa SYB....
za kwako?
AbeeeeCarba....
Pole shemejiLimeniuma kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni uzembe wako,usitusingizie na majina ya ajabu hayo.Mwanaume mwenye kusimamisha kichwa chake mara kwa mara lazima ampende carba...Mimi ni ndugu yako lakini na mimi natamanimo ila navumulia kwa ajili yako.Pambana bila parabo mdogo wangu,ipo siku nitakuwa adui yako "ikiwa tu"...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Your mate eeh?Hii salamu yenu kwa my mate jakitoo inanichanganya