Anza wewe,. Mimi namalizaaaa. Bora tusielewane vibaya[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]Your mate eeh?
Unachokitaka utakipata[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu, kumbe hata wewe. Mazizi hayatabaki salama walahi[emoji3]Ni uzembe wako,usitusingizie na majina ya ajabu hayo.Mwanaume mwenye kusimamisha kichwa chake mara kwa mara lazima ampende carba...Mimi ni ndugu yako lakini na mimi natamanimo ila navumulia kwa ajili yako.Pambana bila parabo mdogo wangu,ipo siku nitakuwa adui yako "ikiwa tu"...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Numbisa upo mrembo?Unapomtambua mtu anayekuambia Sijambo wakati ana matatizo.
Hahaha, unacheka na simu kwa sababu ya mvamizi maarufu kijijini. Kikulacho..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] we Mzee wewe mpaka wananiuliza mbona nacheka na simu
Nashukuru my ndugu