Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nashukuru sikia hivyo.

Mimi tena shemeji?akhaaa!sitaki jakamoyo,namwacha ahangaike tu atakipata anachokitafuta[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Shida hapo kwenye ai wili du anesingi yu wanti hapo ndo kwenye mtego[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Disadvantages za kulala kwa wenyewe
1. Huwezi sema haujashiba ukiulizwa "do you want some more food? "Unasmile unasema "no thank you am okay "saa hizo minyoo zishaform resistance movement[emoji23][emoji23]
2:Huwezi wachilia mnyambo huko usafishe tumbo mtu ubloat mpaka unaumwa na kahasho[emoji23]
3:unashindangwa kuenda haja kubwa
4:ukiweza kuenda haja kubwa inakataanga kuflash
5:huwezi lala mbele ya wenyeji unangoja mpaka time Yao Ifike
6:mtu huamka mapeeeeeema mbele ya kila mtu unashindwa ni nini utafanya... karibu uanze kufyeka nyasi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…