Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu, kumbe hata wewe. Mazizi hayatabaki salama walahi[emoji3]
Talaka ni mbaya.Nduguyo simwelewi mimi,mnipe talaka yangu tu la sivyo cha moto mtakiona
Uhali gani lakini?
[emoji106][emoji106]lakini ni ngumu kuona kitambaa cha almasi kupitia mawingu.
Moja kati ya vitu sipendi ni kutukana watu. Jiheshimu mkuu. Hili ni jibu la kistaarabu kabisa.Nzuri aise pande hizi lini?
Kuna zawadi nimeandaa tatizo zawadi yenyewe ni perishable itaharibika mpe....
wangu
Bonge la kdramaI can hear your voice
View attachment 623939