Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wazo kubwa hapa ni kukaa mbali na vyakula ambavyo vimetengenezwa na kutunzwa kwenye makopo au chupa au chochote na kuachana na vyakula vya kukaanga kwenye mafuta mengi ,
 
Hapa kuna mbinu kadhaa za kuanza kula kilicho safi.

1.Jaribu matunda fresh na mboga mboga fresh badala ya kula vyakula vilivyopakiwa na kuwekwa sukari nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…