Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afya za watu zimekuwa mtaji sasaView attachment 624923
Ni mbinu ya kawaida ya makampuni ya madawa. Testing inafanywa na madaktari wanaowalipa. Data chanya zinapikwa na kidonge kinafagiliwa lakini baada ya miaka 10 ndiyo kinagundulika kina madhara ya kutisha hata kuliko faida. Wanapigwa faini ya bilioni hata 2 wakati kidonge kilishaingiza zaidi ya bilioni 10. Mavidonge mengi ya kansa yana hii trend...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…