Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

27' Still nothing between the two sides as we edge towards the half hour mark but it's been a very positive performance from each of the teams.
 
Ndo dunia yetu ilikofikia,tunajali sana pesa kuliko utu wa mtu
 
29' Chelsea perhaps the better side from what we've seen so far and they've certainly had the better opportunities. De Gea needs to be tested more, although the Blues will be pleased by the amount of space they're finding in the attacking third.
 
31' Superb pressure from Young on Zappacosta wins Manchester United a corner but Rashford's delivery is easily headed away at the near post.
 
Hahahahaa magumu hasa. Ngoja wenyewe waje waamue
Kama unakubali, niko tayari kusamehe deni la Uniq (Ng'ombe wawili wa maziwa, mbuzi kadhaa, kuku wa kisasa 20+ na bata ambao idadi hatukuelewana). Acha tu Mpate amuoe Baby S bure lakini Andjul niache nikomae naye. Deni lake ni sugu na lina kila dalili za utapeli na ulaghai dhidi ya ukoo wetu. Huyu siwezi kumwachia aisee. Niko tayari hata kutoa hizo likes 100 ali mradi tu deni hilo liendelee !!!
 
32' Morata wiggles into some space to find room for a shot at goal but he fails to connect with the ball properly, making it an easy gather for De Gea.
 
Mwenye deni hayupo daah mpaka nashindwa toa maamuzi magumu. Ila si alishatoa talaka au ndoa bado ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…