Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Ahadi iliyopo kwa maandishi yaweza kubadilika?
 
Mwenye deni hayupo daah mpaka nashindwa toa maamuzi magumu. Ila si alishatoa talaka au ndoa bado ipo?
Carba alinipa taarifa kuwa hilo deni bwana shemeji mpenzi amelifungulia akaunti ya EPA.Huyu mkoromije hata sijui anitakia nini mie? Talaka tayari na amepata mfariji wa kipwani...nitoe mahari ili iweje sasa?
NASEMA "mahari sitoi"....
 
Aah mpare atalipa. Bora usamehe la andjul ili asitafute sababu za kumuacha nsamaka
Nilisha muacha.Deni silipi,labda kama anawataka[emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] na bonus ya[emoji241] [emoji241][emoji241] ,[emoji238] [emoji238] na[emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] .Tusisumbuane tena
 
Carba alinipa taarifa kuwa hilo deni bwana shemeji mpenzi amelifungulia akaunti ya EPA.Huyu mkoromije hata sijui anitakia nini mie? Talaka tayari na amepata mfariji wa kipwani...nitoe mahari ili iweje sasa?
NASEMA "mahari sitoi"....
Shimbaaa kuja ujibu tuhuma. Maana jana niliambiwa hakuna cha talaka wala kuachana.
 
Mbona nsamaka haitambui talaka jaman una visa wewe
 
Okusakula ooh okutisa ooh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna muda nina wakumbuka sana ninavyokosa kukutana nanyi hapa.Mungu awape afya njema.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…