Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Me too nawakumbuka ndio maana sibanduki hapa hii familia ipo vizuri. Amen
 
1. Watoto wanamifupa 60 zaidi kuliko watu wazima na ndio maana hawachoki haraka, ukitaka kuamini amka na mtoto wako saa 12 asubuhi halafu ufanye kila anachofanya ikifika saa tatu bado uko fiti ni bahati wakati yeye ndio kwaanza alikua anapiga jaramba.
Mtoto anapozaliwa huwa na mifupa 270 ambayo hupungua hadi kufikia 206 utu uzimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…