carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Acheni kumsingizia shemeji yangu jamaniMi ni RAIA mwema. Uharibifu namwachia Andjul aliyevamia zizi la ndugu yake Cole
Nipo uniq mambo?msalimie babeWhere is Carba na KK
Nzuri dadake, nilidhani upo kwenye majukumu. Kumbe mida hii pia unapatikana!!!Kwema kaka za leo?
Shemejio hafai. Anasikiliza ushauri wa manifongo kwamba nafsi hainaga ushemeji[emoji3] [emoji3] [emoji3]Acheni kumsingizia shemeji yangu jamani
Mkuu habari yakoAmani moyoni
Nani anaesambaza hizo habari? Hii ndoa yangu mbona watu wanaiombea mabaya sana?Nasikia kuna habari zilizo vunjika hunu ndani
Shemeji nitake radhi, bado niko na mzee wa misambwanda japo mm sina limsambwanda la kutisha.Nsamaka vipi kwani
Me napatikana hapa 24/7Nzuri dadake, nilidhani upo kwenye majukumu. Kumbe mida hii pia unapatikana!!!
Nakumithimo thana.Me napatikana hapa 24/7
Nsamaka, hujambo bibieNani anaesambaza hizo habari? Hii ndoa yangu mbona watu wanaiombea mabaya sana?
Shemeji mm nipo huku tukuyu nimetulia kbs na wala ndoa yangu haina migogoro km wanayoitangaza humu.
Nashukuru dadaMe napatikana hapa 24/7
Jamani sijaachana na andjul, bado niko na bby wangu.Andjul alifanyiwa figisu ili aachane na nsamaka. Hata hivyo hii ni siri yako[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nipo mpendwa za kupoteaNakumithimo thana.
Jamani jamani jamani!Mi ni RAIA mwema. Uharibifu namwachia Andjul aliyevamia zizi la ndugu yake Cole
Uwe na siku njema kakaNashukuru dada