Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1509947011430.jpg
 
Ndiyo maana WANAUME ni wavumilivu, wapole na wasiopendaga ushilawadu na biff endelevu. Namshukuru mungu kuniumba mwanaume, pia na nashukuru kwa maarifa yake yake ya kumuumba mamangu aliyenizaa na kunililea. ALHAMDULILLAH. nashukuru kwa yote
Mm kwakweli nashukru sana kuwa mwanamke na hata ikitokea nafasi ya kujibadili, mm hapana.
Kuhonga mm siwezi hahaha.
 
Back
Top Bottom