Mweh mweh yalah hahahhaNsamaka ni jirani na rafiki yangu kipenzi cha roho[emoji173] , babes ni shememe, shemelaa, yani shemeji mpendwa. Nawapenda sana wasukuma. Sijui wameniloga!!!? Tena walioolewa.
Mweh mweh yalah hahahhaNsamaka ni jirani na rafiki yangu kipenzi cha roho[emoji173] , babes ni shememe, shemelaa, yani shemeji mpendwa. Nawapenda sana wasukuma. Sijui wameniloga!!!? Tena walioolewa.
Marahaba kijanashikamoni!
Muongo huyo, mbona mm nipo hapa home kwetu tukuyu namalizia kuandaa mahanjumati. Uwahi kuja kula.Kwamba anaweza kuolewa na moudgulf akiwa bado kwenye himaya yangu?Nae amekuwa Zari? Sitakiii...
Kweli kbs hiyo talaka mm siitambui na asb ametokea hapa nyumbani na kaniacha ndani. Sasa hiyo talaka anayoongelea ni ya wapi?Mbona nsamaka haitambui talaka jaman una visa wewe
We umeniacha lini? Na uliemuacha ndani asb ni nani?Nilisha muacha.Deni silipi,labda kama anawataka[emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] na bonus ya[emoji241] [emoji241][emoji241] ,[emoji238] [emoji238] na[emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] .Tusisumbuane tena
Talaka ulitoa lini? Na huyo mfariji gani. Kwhy unavyoona niko kimya ndio unakuja kutamba huku? Kwhy huku ndani umeacha kivuli changu au?Carba alinipa taarifa kuwa hilo deni bwana shemeji mpenzi amelifungulia akaunti ya EPA.Huyu mkoromije hata sijui anitakia nini mie? Talaka tayari na amepata mfariji wa kipwani...nitoe mahari ili iweje sasa?
NASEMA "mahari sitoi"....
Hahahha pole sasa kaka na mm ndio Nsamaka mke halali wa andjul aka mzee wa misambwanda.Dah! Nimecheka sana
Sikuweza kuelewa kinaendelea nn humu leo ndo nimepata picha kdg
Etiiiiiii? Jidanganye sasa.Mara paaaap...sidaiwi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuangalia tu ujueWeraaa weraaaaaa....hailipiki,hailipiki iii...[emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji126] [emoji126]
Njema thana.Nipo mpendwa za kupotea
Mzima wa afya.Nsamaka, hujambo bibie
salama mkuu..nataka kutembelea maeneo ya kibiti pamepoaMkuu habari yako