moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tembelea tu kiongozisalama mkuu..nataka kutembelea maeneo ya kibiti pamepoa
Tembelea tu kiongozisalama mkuu..nataka kutembelea maeneo ya kibiti pamepoa
Acha kunisambazia uchuro bhana.Umeshaachika bibie, uje tuyajenge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] moudgulf ni tatizo sanaHahaha. Umeguswa mzee wa Tukuyu
Au hukutaka Andjul ajue kuwa lile genge ni lake??Uongo tu
Yamekuwa hayoAcha kunisambazia uchuro bhana.
Jameni!Au hukutaka Andjul ajue kuwa lile genge ni lake??
Sorry
Nimeuliza Shemeji maana....... mwenzako anyolewa.....Jameni!
Hapana, niko nae bado.Nimeuliza Shemeji maana....... mwenzako anyolewa.....
Haki ya nani vile namuendea kulee...Nimechoka sasaKama kile ulichokuwa unatafuta kwa Babe S. Hebu sikiliza utamu wake
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa ataishia kutoona App ya JF kwenye simu yake
Afadhali Shemeji.Hapana, niko nae bado.
Hahahaha Dawa yake asione App ya JFHaki ya nani vile namuendea kulee...Nimechoka sasa![]()
Na wewe umesha mtambua ee?Moudgulf mharibifu katika ubora wake
Hahahahaha. Lazima atie adabuNa wewe umesha mtambua ee?
Safari hii namshusha kiungo chake muhimu...
Jamani jamani jamaniiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] hii ni zaidi ya dharauNsamaka ni poa tu, kwani vipi. Acha uoga, nsamaka na babe S ni ndugu, na imesemwa kuwa "kizuri kula na nduguyo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uniq kwa jina lingine anaitwa dogo nani??? Haki yangu sitang'oka kwenye uzi huu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utacheka sana mwka huu dogo janja[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha Andjul umemuweka wapi!? Mi ntakuja nitamuomba uniq ruhusa....Asee, kumbe kila mmoja alimiss mwenzie, mambo yangu kweli si haba. Si muda mrefu nsamaka atahamia kwetu Bagamoyo aje kula mananasi, matikiti, pweza, chaza, ngisi, kamba, nk. Naamini nawe utakuwa unakuja kumtembelea tembelea ndugu yako
Hahaha nasikia "shemeji" kavunja zizi la Cole!?????!!!!!!!!! mzima!?Acheni kumsingizia shemeji yangu jamani
Hahahha huyu muongo anataka kuniachanisha tu.Hahaha Andjul umemuweka wapi!? Mi ntakuja nitamuomba uniq ruhusa....
Nimezipata! Za wewe!?Nipo uniq mambo?msalimie babe