moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante nawe piaUwe na siku njema kaka
Asante nawe piaUwe na siku njema kaka
Hahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu, unapenda sana kuhongwa eeeehMm kwakweli nashukru sana kuwa mwanamke na hata ikitokea nafasi ya kujibadili, mm hapana.
Kuhonga mm siwezi hahaha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahhahah jirani unaanza fujo eeeh?
Muulize MoudgulfHahahah niacheni wapenzi jamani, bado naipenda ndoa yangu.
Kama yeye hakutqki utafanyaje ?Jamani bado sijaachika, nakapenda ka ndoa kangu hahahhaha.
Hahahah kuchana note kwa mtu inahitaji moyo wa chuma.Hahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu, unapenda sana kuhongwa eeeeh
Naaaam Shemeji mbona unataka kumliza Andjul?Shemeji shemeji!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jirani lkn umekuwaje leo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mweh mweh yalah hahahha
Unataka nije na picha yako na tv yako ya chogoShemeji nitake radhi, bado niko na mzee wa misambwanda japo mm sina limsambwanda la kutisha.
Hapana, hata mm huu mjadala nashangaa maana nipo huku nyumbani tukuyu. Na asb kaniacha ndani.Naaaam Shemeji mbona unataka kumliza Andjul?
Lisemwalo lipo kama halipo ............Nani anaesambaza hizo habari? Hii ndoa yangu mbona watu wanaiombea mabaya sana?
Shemeji mm nipo huku tukuyu nimetulia kbs na wala ndoa yangu haina migogoro km wanayoitangaza humu.
Umeshaachika bibie, uje tuyajengeWe umeniacha lini? Na uliemuacha ndani asb ni nani?
Nasikia Moudgulf anakibanda cha nyanya na ngogwe jirani na kwakoHapana, hata mm huu mjadala nashangaa maana nipo huku nyumbani tukuyu. Na asb kaniacha ndani.
Wakusoma post imetoka? Unaripoti shule gani?Nasikia kuna habari zilizo vunjika hunu ndani
Nataka nikiondoka niwe nineweka mambo yako sawa naona Moudgulf anakuzingua sanaWakusoma post imetoka? Unaripoti shule gani?
Ha wa yuuu buraza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwhy unatangaza umeniacha? Je aliepo humu ndani ni nani?Wakusoma post imetoka? Unaripoti shule gani?
Ha wa yuuu buraza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uongo tuNasikia Moudgulf anakibanda cha nyanya na ngogwe jirani na kwako