babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Hahahah[emoji16][emoji16][emoji16]Au hukutaka Andjul ajue kuwa lile genge ni lake??
Sorry
Hahahah[emoji16][emoji16][emoji16]Au hukutaka Andjul ajue kuwa lile genge ni lake??
Sorry
Kwahiyo mnataka kusema Babe S ndie ........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uniq kwa jina lingine anaitwa dogo nani??? Haki yangu sitang'oka kwenye uzi huu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaaanii...Acheni kumsingizia shemeji yangu jamani
Nisawa na maji kwenye mteremkoHata wewe ipo siku utaguswa tu,mtenda hutendwa,kwani talaka nimetoa? Mtalaka hatongozwi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] anaongea kwa ujasiri ila!!!! HahahaHahahha huyu muongo anataka kuniachanisha tu.
Lisemwalo mama.....[emoji16][emoji16][emoji16] anaongea kwa ujasiri ila!!!! Hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mweee!!!![]()
Yakweli haya??mweee!!!![]()
Ndio tumeambiwa hivyo!!!!Mimi???? Nivamie kwa Cole? Jamaniii...
[emoji16][emoji16] nami nasubiri jibu hahah!Kwahiyo mnataka kusema Babe S ndie ........
MuongoooNani anaesambaza hizo habari? Hii ndoa yangu mbona watu wanaiombea mabaya sana?
Shemeji mm nipo huku tukuyu nimetulia kbs na wala ndoa yangu haina migogoro km wanayoitangaza humu.
Upo wapi na mimi? Nilisha achana na maumivu ya mapenziShemeji nitake radhi, bado niko na mzee wa misambwanda japo mm sina limsambwanda la kutisha.
Shemeji kwema? Unataka kumshika Moud ugoni? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️"Unacho kitafuta utakipata" (asema Shimba ya Buyenze)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemejiiiiiiii ...!!!Kama kile ulichokuwa unatafuta kwa Babe S. Hebu sikiliza utamu wake
Hayo maneno yako ndo yanasababisha nidaiwe mahari ujue na kakaakoJamani sijaachana na andjul, bado niko na bby wangu.
Ndagha fijo hahaha.