Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mahari umejipangaje? Wasukuma siyo chipu ujue. Na safari hii nataka mashemeji responsibo jamani. Nimechoka kupanda mabasi kufuatilia mahari kha!. Tukuyu mpaka wamenifahamu mpaka wanadhani mi Mnyakyusa mwenzao. Ai emu tayadi na hizi drama zenu mashemeji.Nawatafuta wasukuma, hakuna kingine mkuu
Hakuna talaka hapo. Sema tu kapata kisingizio cha kuendeleza danadana zake za kutotoa mahari. Mashemeji wengine taabu tupu yaani!Mbona nsamaka haitambui talaka jaman una visa wewe
Hivi nilikuoa au ulinioa?Talaka ulitoa lini? Na huyo mfariji gani. Kwhy unavyoona niko kimya ndio unakuja kutamba huku? Kwhy huku ndani umeacha kivuli changu au?
Utamuachaje mwanamke ambaye hajakuacha na talaka hajaikubali? Ndoa yenu bado ni halali hapa duniani na hata mbinguni na huko kwa Cole inakosemekana ndo umehamishia majeshi tambua tu kuwa unazini. Na nikwambie mara ngapi kuwa hutu tung'ombe twako twenye vifua kama mabaunsa uchwara hutu hatututaki? Kwa kweli kama ni shemeji hapa tulipata duh !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]Nilisha muacha.Deni silipi,labda kama anawataka[emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] na bonus ya[emoji241] [emoji241][emoji241] ,[emoji238] [emoji238] na[emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] .Tusisumbuane tena
Dharau tupu. Mpaka na bonasi ya kitimoto. Mnyama mchafu mwenye laana yule ulishaona wapi anatolewa kama mahari? Dharau hizi kwa familia na ukoo wetu hatutazivumilia kwa kweli...Nilisha muacha.Deni silipi,labda kama anawataka[emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] na bonus ya[emoji241] [emoji241][emoji241] ,[emoji238] [emoji238] na[emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] [emoji239] .Tusisumbuane tena
Sawa kabisa,atafanyaje?Kama yeye hakutqki utafanyaje ?
Mwache tu acheze makida makida. Afadhali nisamehe ng'ombe wawili tulioahidiwa na Mpare asiye na makuu kuliko huyu Mnyakyusa asiyejali. Ikibidi hata mahakamani tuburuzane sasa !!!Hahahhaaa shimba asikusike inachoma kama pasi kusamehe mahari si mchezo
Niambie ShemejiShemejiiiiiiii ...!!!
Maandishi yanakufunga moja kwa moja. Kama una kopi tafuta usome ulichotia sahihi. Tena na dole gumba juu !!!![]()
Ahadi iliyopo kwa maandishi yaweza kubadilika?