Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BARCA INATAKA KUMSAJILI TAH


Barcelona wamemtaja Jonathan Tah kama shabaha yao kuu katika mpango wao wa kuimarisha safu yao ya ulinzi, kwa mujibu wa Sport .
Beki huyo wa kati wa Bayer Leverkusen anaaminika kuwa miongoni mwa vipaji hatari vinavyoibukia Ujerumani na amezivutia timu za Uingereza, lakini Barca wamemweka kwenye orodha yao kuu ya uhamisho.
 
BAYERN YARUDI TENA KWA ALEXIS


Bayern Munich wanataka kurudi tena kwenye mbio za kumsajili Alexis Sanchez kutoka Arsenal, ESPN imedai.
Miamba hao wa Bavaria walihusishwa na tetesi za kutaka kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile lakini waliamua kuachana naye kwa sababu ya gharama kubwa.
Alexis Sanchez alishuhudia mchakato wake kwenda Manchester City ukigonga mwamba lakini inaaminika yupo tayari kujiunga na Bayern uhamisho wa Januari.
 
Back
Top Bottom