Subiri utaona.....Hup ni uongo
Toa likes upate likesKuna uzi mlinipunja likes, hebu naziombeni hapa ee...!!
Nimeona Like yako pia Ndugu yangu. Kula yangu pia.You are quite right dear.
Huyo baba mwenyewe ana umri gani? Bila shaka ni uvulana tu unamsumbua huyo chek bob[HASHTAG]#MATUKIO[/HASHTAG] Huyu baba alimpiga mtoto wake hadi akazimia siku ya wababa duniani, Bahati mbaya baada ya siku tano huyu mtoto amefariki dunia, Unadhani huyu jamaa anastahili adhabu gani?? . FUNGUKA HAPAView attachment 530506
Mh haya
Anakula..Cocochanel
Apigwe na yeye hadi afe[HASHTAG]#MATUKIO[/HASHTAG] Huyu baba alimpiga mtoto wake hadi akazimia siku ya wababa duniani, Bahati mbaya baada ya siku tano huyu mtoto amefariki dunia, Unadhani huyu jamaa anastahili adhabu gani?? . FUNGUKA HAPAView attachment 530506
Kitu kamba kochi. Maeneo ya wapi mkuu??
Wazee wa sea food, karibuni kesho eid
Pokea na weweNimeona Like yako pia Ndugu yangu. Kula yangu pia.
Mh hizi ndo zile technical terms za kidaktari nin? Sie la saba b tunapata tabuKama ilivyoandikwa mkuu,carba.ma.ze.pi.ne