Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 708
- 2,092
Natafuta namna ya kuitamka vizuri ID yako... Msaada plsUsimwache hata kwa utani utani
Natafuta namna ya kuitamka vizuri ID yako... Msaada plsUsimwache hata kwa utani utani
MI nataka 1K tu wakuuMh ngoja tuone leo
Hup ni uongoHahaha nikiona umekaribia nakuachia..
Gonga hapa [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Weka vitu hivyo nigonge likes
Pokea likeKuna uzi mlinipunja likes, hebu naziombeni hapa ee...!!
Kugonga mkuu sio kuoga[emoji1]Endelea kuoga likes
Diamond anajua sana ku support Vijana wenzake.
Wewe!!Karibuni msosi wadogo zangu ninyi!?
Ha ha haaa ana akili sana ya kutafuta pesa.
Usichoke, leo ndiyo leoSpeed inakimbia
Nifanyie mpango wa like 1K tu kwanzaHili ndilo lengo lilitangazwa asubuhi ya leo.
Kuwa usiku wa leo ni 50k
Vanny anajitahidi sana